HOSPITALI YA WILAYA NGUDU

 Hospitali ya wilaya Ngudu


Nchi: Tanzania

Mkoa:Mwanza

Wilaya: Kwimba

Kata: Ngudu


Hospitali inahudumia wilaya ya kwimba na kama rufaa ya vituo vya afya vilivyopo katika kata zote za kwimba.Wateja wote wanaotokea kata za 

Bugando( 18),Bungulwa(28),Bupamwa (51),Fukalo (44),Hungumalwa(38),lgongwa(31),llula (28),Iseni (22),Kikubiji (50),Lyoma (36),Maligisu(42),Malya (33),Mantare (29),Mhande (34),Mwabomba (26),Mwagi (28),Mwakilyambiti(51),Mwandu (33),Mwang'Halanga,(28),Mwankulwe(28),Ng'Hundi (15),Ngudu (14),Ngulla (26),Nkalalo (18),Nyambiti(37),Nyamilama (26),Shilembo (25),Sumve (28),Walla (25)


Huduma zitolewazo katika Hospitali ya Ngudu ni kama ifuatavyo:

Huduma zitolewazo Mapokezi

  • Kupima Afya kwa hiari
  • Huduma ya kulazwa kwa siku
  • Kujaziwa fomu ya PF3
  • Kujaziwa fomu ya workmen’s compensation nk.

Wote Mnakaribishwa Mfurahie huduma zetu.

Huduma za Maabara

  • Haemoglobin test (Hb)
  • Blood grouping & close match
  • Full blood picture (FBP)
  • Sickling Test
  • CD4 count bure bila malipo (free of charge)
  • Leticulocytes count
  • Prothrombin test PT, PPT, INR) @
  • Blood Slides for Malaria parasites(BS)
  • Urine Sedimentation
  • Urinalysis
  • Stool
  • Occult blood test
  • Urine Pregnant Test (UPT)
  • Widal test
  • Test for Cryptococcal
  • Test for Hepatitis A, B or C @
  • Prostate test (PSA)
  • kusimamia Matibabu ya Wazee.

Comments

Popular posts from this blog

Call for Proposal: Research Program

Project: Citi Foundation 2025 Global Innovation Challenge