HOSPITALI YA WILAYA YA BUCHOSA

 Hospitali ya wilaya  Buchosa

Inahudumia wakazi wa buchosa wapatao 327,767 kata 21,vijiji 82 na vitongoji 410.Pia inahudumu kama rufaa kwa vituo vya afya na zahanati 35.
Hospitali inahudumu kata  zifuatazo


Bangwe,Bugoro ,Buhama ,Bukokwa ,Bulyaheke,Bupandwa , lligamba ,Irenza ,Kafunzo ,

Kalebezo ,Kasisa ,Katwe ,Kazunzu ,Lugata ,

Luharanyonga ,Maisome ,Nyakaliro ,Nyakasasa ,Nyakasungwa ,Nyanzenda ,Nyehunge


Comments

Popular posts from this blog

Call for Proposal: Research Program

Project: Citi Foundation 2025 Global Innovation Challenge